Selfika na JF: Snap it. Show it

Sapraizzzzzzz jiandae kwa zawadiiii chizi wewee!!
Kwanza mmeambiwa humu ndani msiongee na mie,

Watu wanakua bitter mnooo, hebu mninuniee tena mnifukuzeee kabisaaa selfikaaaa.

Nyie nachekaaaa km chiziiii, mtu hana furaha na maisha yake.

Which zawadiiiiiii na venyeee huu month wa kujidai.

Nasubir kuambiwa "wee mbwa umekua mkubwaa uache ujinga"

 
Sio shida zakoo hizooo !!
 
Ok! well...
 
Na wewe tulia
 
ok. well!
Nimekosaa nimekosaaa mimii nimekosaa sanaaaa!πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Mi sijakuambia kama umenikosea, ila nimekuuliza tu kwa nini unakuwa emotional? ungepaswa unijibu either ni rafiki yako unamtetea au vinginevyo.... mi hujanikosea kwa lipi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…