Mkuu hiyo avatar yako kila nikiiona naitafakari ila sijawahi kuipatia jibu ni kwamba hiyo sura ndiyo imechorwa kwenye hivyo vidole au hivyo vidole ndiyo vimechorwa kwenye hiyo sura??
Nakubali.
Ila nisichokubaliana nacho ni kusema kila mtu ana mtazamo wake huku anasema kwa kila mwanaume kamili lazima akubaliane nae kwamba miguu ile imefunika picha zote za wadada huku.
Kwahiyo wasiokubaliana nae sio wanaume kamili? Kumbuka kila mtu ana mtazamo wake wa namna anavomuona mtu.
.
Kwa mwanaume mwenye akili hawezi kusifia huku akofanya comparison za kijinga hivyo.