Selfika na JF: Snap it. Show it

vitu vya kipuuzi lazima vikemewe.
Ooh no! Unadhani ukiuzima moto kwa moto ninj kitatokea.?
Naamini kila mtu ndani yake kuna upande wa Wema /Good side..
So mtu mbaya/mwenye matendo mabaya hutakiwi kum treat kama anavyofanya ubaya..bali inatakiwa ufanye ku retrieve ule uzuri wake alionao ila aje kua Mwema.
Ni raha sana kumbadiri mtu mbaya kua mwema..hata biblia inasema hua ni shangwe na furaha kuu mtu muovu akimrudia Mungu
 
Hahahahahahah in anything? Are you a saint or something? Even Jesus had to kick some ass at some point. Sometimes you have to draw a line and protect your decency and dignity....
Daah sema Mkuu kila mtu anajinsi anavyochukulia tatizo likimpata.. I'm not a saint or Jesus Cousin.. But Napenda tuwe tunatumia wema zaidi.. unajua jesus nae alikua binaadam so inawezekana pale u binaadamu uli outgrow uungu wake..ndio mana akatumia Nguvu!
 
Sina la kusema, ila nimeona amefanya sahihi kumfundisha namna ya kuishi kwenye mipaka yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…