Deki la maana maninaaaa!!πππππ€Έπ€Έπ€Έ!!Katoto kama haka mambo kama haya lazima ya kahusu au sio Professor Mzee wa kupambania wenye mawazo yao utawajua tu View attachment 2426700
Hapa lazima tupate neno kutoka kwa shangazi Antonnia
Popote unapopenda aunt na bill leta kwanguLeo leo 25th Mjep βΊοΈβΊοΈ
Nikale wapi dinner???π
πββοΈπββοΈDeki la maana maninaaaa!!πππππ€Έπ€Έπ€Έ!!
Video sasa mjomba!!ππππ!
π€£π€£πShikamoo mr vouchaaa π€!!πββοΈπββοΈ
Kuna kitu unataka kuninyima madamπ€£π€£πShikamoo mr vouchaaa π€!!
Chizi kasorobo huyo ni kwenda nae ivoivo tu sasa tumpeleke wapi unadhani!!π€π€Kwa maneno yako hayo sijui ka mtakuja patana nyie
Kuna kitu unataka kuninyima madam
Uweke hadharani tu unataka kuninyima nini?
Wee Mjomba Ndiomana kamwili hakanenepi Hakyanani unapenda chini mnoooπππππ!!π π π π Asahivi anasikilizia utamu hadi kisogoni.. Kesho anakuja mwepesiiiiiiiii kama oxygen
Hapo ushajichafua mpaka basi!!π€
Sanchoka wa jf!! Tusafishe macho plizwapi Beautiful Tinsley sabato ishaingia jamaneee njoo uibless weekend Yangu kipenzi!.... Wee Ziro brain samaleko ββ Poor Brain
π€£π€£π€£π€£π€£ππππππ Ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaπ€£π€£π€π€Yaani watu tupo busy na kombe la dunia mtu anakuomba hela ya kusuka [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Nina jipya basiii!! Kamera sikuhizi inazengua kweri kweri! za masiku mingi!!Sanchoka wa jf!! Tusafishe macho pliz
Waleku salam... Mbona ukatususa π₯π₯π₯π₯wapi Biurifooo Tinsley sabato ishaingia jamaneee njoo uibless weekend Yangu kipenzi!.... Wee Ziro brain samaleko ββ Poor Brain
Vyakale dhahabu.Nina jipya basiii!! Kamera sikuhizi inazengua kweri kweri! za masiku mingi!!
Bwanabwanaaa jana ile mchana si nkajifanya kucheki boli la saa 7 kwa simu na tu mb twangu twa kubip??!!! Hata mpira hatukuumaliza tu Mb twote kwishaaaa π€£π€£π€£π€£π!! Huku kwenyewe bushiiii vocha hadi muagize mjini huko kwenye duka chair wa kitongoji!! π€π€!! Leo Jioni ndio nikasafiri kufata vocha nahuduma zinazofanana nahizo!!Waleku salam... Mbona ukatususa π₯π₯π₯π₯
Usijareeeee kabisa Mkuu ngoja nikuchekie za kalee labda!! Usipepese hata kopeeeeVyakale dhahabu.
Tupe vitu ivo ivo hata usijali.