Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,402
- 54,845
Weeeh unazijua ka na kuogelea ushawahi......🤣🤣🤣🤣🤣nimekuwa beach boy 🤣🤣
Sijazoea , nimewahi ogelea beach Mara mmoja tu , sasa nimezoea nn
Weeeh unazijua ka na kuogelea ushawahi......🤣🤣🤣🤣🤣nimekuwa beach boy 🤣🤣
Sijazoea , nimewahi ogelea beach Mara mmoja tu , sasa nimezoea nn
Mbona wanifanyia hvo lakinii....?? 😥😥😥 Sijachukua wallah wabillah tena.. nilambe mchanga uamini au..?Umeichukua wallahi
Tabia mbaya
Nizijulie wapi mie 😂😂Weeeh unazijua ka na kuogelea ushawahi......🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Nguo za kuogelea bado unazo 😋😋Nizijulie wapi mie 😂😂
siku Ile ushamba tu aisee
siajwahi ogelea tena , nikanunua nguo za kuogelea na kukodi boya
pole aisee
Sina ,🤣🤣🤣 Nguo za kuogelea bado unazo 😋😋
Yaaan mi nayapenda maji ila ndo sielewi hata moja... Yaan hata moja 🤣🤣🤣 bora mzoefu upoSina ,
pale beach boys wanauza mitumba ya kuogelea 🤣🤣
Sina nilijualo mieYaaan mi nayapenda maji ila ndo sielewi hata moja... Yaan hata moja 🤣🤣🤣 bora mzoefu upo
🤣🤣 Nataman nikaogelee huko😋😋😋Sina nilijualo mie
usinitegemee
Bora swimming pool🤣🤣 Nataman nikaogelee huko😋😋😋
😥😥😥 Hapana mii nataka kwa bahari anBora swimming pool
Mmh haya sawa😥😥😥 Hapana mii nataka kwa bahari an
Huku pia umekata mida ya saa 1 kasoro dear mpaka Saivi haujarudiiiii!! Na simu ina 10% bora hata chaji ingekuepo ningeangalia kwenye simu!!
Asante. Utanipa update mamy Huku pia Tanesco washachukua chao!!Spain 3 -Costa Rica 0
half time
Pole mwayaHuku pia umekata mida ya saa 1 kasoro dear mpaka Saivi haujarudiiiii!! Na simu ina 10% bora hata chaji ingekuepo ningeangalia kwenye simu!!
Pole mwayaAsante. Utanipa update mamy Huku pia Tanesco washachukua chao!!
Yaniii... ngoja nitoke online kwanza wa saa Canada na Belgium niangalie ivoivo hadi simu izime😁!!Pole mwaya
Tanesco mwaka huu tutakokoma
mgao umechachamaa