Kitaje π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kipo bana... π₯π₯π₯π₯π₯
Nzuri imependezaChocolate&pink Rosy View attachment 2425190View attachment 2425191
Wala siyo tamu[emoji23]Nzuri imependeza
Njoo uchukue tu yoteNaomba kipande [emoji39]
Why him lakin..π€£π€£zimefikaπ€£ππππ! Say Hi to him!!! Au ni wa kikeπππ!!??
Kitaje π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Ebuu tuone kipande ulichokata.....ππππππ
Nakujaaa sijala keki kitambo ndio nzuri hiyoNjoo uchukue tu yote
Sukari imezidi
Itakuwa tamu bhanaWala siyo tamu[emoji23]
sijui bhana ππWe kusema ukijui..π€£π€£π€£π€£ ushaelewa bhana..π€π€
Umeme hakuna na mkaa umenisumbua kubalanceItakuwa tamu bhana
mie nilipika siku , oven hatukuwasha vizuri ndani haikuiva .
[emoji23][emoji23][emoji23]Nakujaaa sijala keki kitambo ndio nzuri hiyo
Ila unajuaga kubalance weweUmeme hakuna na mkaa umenisumbua kubalance
Nibless kwanzaa mjomba unaniachajeachaje hivi lakini???Haya banaaa miss you shangazi nilikuwepo ππ
Hii sijaikataEbuu tuone kipande ulichokata.....[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji119][emoji119]
Nabahatishaga tuIla unajuaga kubalance wewe
sio mimi mkaa siuwezi kabisa
Aaaah sawa... Unajua sanaππππHii sijaikata
Amechukua mtu
Wee akili zako unazijua mwenyewe!!π π π Kidogo tuu shangazi wangu