Selfika na JF: Snap it. Show it

Complex lifecycle.... Na yote hayo ujawa sehemu ambayo bila kucheka na mtu mkono hauingii kinywani... wee hata uwe na stress vipi ukifika eneo la tukio just smile... πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘ˆ Ungeweza we
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Toka utotoni kuishi na mie ulikuwa mtihani sana, nipo kama upepo mda wowote nabadilika, na nikibadilika sitaki kuongea kimyaaa.. Ukiuliza najibu Yes na No..
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Toka utotoni kuishi na mie ulikuwa mtihani sana, nipo kama upepo mda wowote nabadilika, na nikibadilika sitaki kuongea kimyaaa.. Ukiuliza najibu Yes na No..
Aaaaah ushuani sana wewe... Uswazi hamna mambo hayo...🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…