Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,791
- 58,403
Sema ajalia mda mrefu sana huyu mpaka kajisahau... π€£π€£π€£π€£ Ngoja kuna pasua kichwa chake kipo way...nimezoom nikaona babyface ya bashasha.
Ninyi hata mkikasirika sura bado zinakuwa na nuru.
Kimbilio lenu ni kujifungia peke yenu na kulia.
Au unanipinga mkuu...?πππHaha bila shaka
Ushindwe IJNSema ajalia mda mrefu sana huyu mpaka kajisahau... π€£π€£π€£π€£ Ngoja kuna pasua kichwa chake kipo way...
Unataka ujue jinsi gani nimekujua π€£π€£π€£ una ujasili sasammhh niambie bhana
mmhh uongo huo ππ
Yeah nataka kufahamuUnataka ujue jinsi gani nimekujua π€£π€£π€£ una ujasili sasa
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Lishashindwa ni pepo tuu limepita...... ππUshindwe IJN
BWANA amenipa kicheko , ni kufurahi tu
Usiogope kukuwa.Sio sana
sura ya utu uzima inanijia.
hahah tukilia ni wenyewe tu ndio
Amen ...π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Lishashindwa ni pepo tuu limepita...... ππ
Thank youUsiogope kukuwa.
Kikubwa dada zetu mjipende Kama wanajipenda mabebez wambele.
Umeona Franceπ₯±π₯±π₯±π₯π₯
Tena kwisha kabisaKwisha habari yangu[emoji3064]
Ngapi ngapi kwanza....... ,?Umeona France
ni balaa
Kutesa kwa zamuTena kwisha kabisa
France 4 Australia 1Ngapi ngapi kwanza....... ,?
Ushaisha tayar...France 4 Australia 1
Nimesikiliza tu kwa mbaliUshaisha tayar...
Leo ujatuletea ule uchambuzi wako wa siku zote.......*** Mambo ya probability π€£π€£π€£ππNimesikiliza tu kwa mbali
Vijana wamecheza vizuri
Hahhaah nilisema toka mwanzoLeo ujatuletea ule uchambuzi wako wa siku zote.......*** Mambo ya probability π€£π€£π€£ππ