Uliza MkuuKwanini ngumu... Nikuulize kitu.πππ
Kiufupi usiwe na wasi wasi na mimi poker... Pia mi sio manfongo wala mandongaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ najua hali uliyonayo hivo tapunguza mazoeaπ€£π€£π€£π€£π€£π€π€π€π€π€Angalia bana maana nakuona umembananisha sana shemeji yako nina wivuu balaa π
Unajipenda..?Uliza Mkuu
Yes I doUnajipenda..?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Daah nzuriiii hiyoo...... Amelala sa hivi nahisi anaota kabisaπ΄π΄Nakukubali sana tajiri wangu vp bebi wako Antonnia amelala?
Sasa unapataje stress... Huwezi pata stress if unajipenda... Ukiona unapata stress basi jua umejipunguzia upendo... ( Sio stress za $$$$)Yes I do
Maisha yalinivuruga , ndo narudi sasaSasa unapataje stress... Huwezi pata stress if unajipenda... Ukiona unapata stress basi jua umejipunguzia upendo... ( Sio stress za $$$$)
Pole... Mungu ni mwema sana pia usichoke kumuomba na atakua na wewe always...Maisha yalinivuruga , ndo narudi sasa
Mungu mwema
"""humble na charming"" nashindwaje kumpenda kwa mfano.. kwa sifa kama hiziπ€£π€£π€£π€£π€£ ila mwambie ndugu yetu yule mwa... Aache makasiliko π€£π€£π€£π€π€π€π€Mpende sana dada yangu Antonnia she's so humble na charming.
Thank you ChiefPole... Mungu ni mwema sana pia usichoke kumuomba na atakua na wewe always...
Nani huyo anakuzibia rizki yako kwa tonnia mtaje hapa usiogope maana dada yangu hana mtu zaidi yako Poor Brain π§"""humble na charming"" nashindwaje kumpenda kwa mfano.. kwa sifa kama hiziπ€£π€£π€£π€£π€£ ila mwambie ndugu yetu yule mwa... Aache makasiliko π€£π€£π€£π€π€π€π€
Atakuja hapa afu takuita ukuje... Yaan ananitishia amani kabisaππ€π€π kumbe kaka mtu upo hapa...Nani huyo anakuzibia rizki yako kwa tonnia mtaje hapa usiogope maana dada yangu hana mtu zaidi yako Poor Brain π§
πππ Hapo utakua strong-stronger-strongest πππ na ukiwa hivo mi takupa zawadi(tuzo)Thank you Chief
nitazidi kumtumainia Mungu manaa anaweza
Amen thank youπππ Hapo utakua strong-stronger-strongest πππ na ukiwa hivo mi takupa zawadi(tuzo)
Mantah hofu pua π§ tonnia dada yangu sifa yake kuu ni upole na uvumivu ukimpata utafaidi sana na yale mahips yake.Atakuja hapa afu takuita ukuje... Yaan ananitishia amani kabisaππ€π€π kumbe kaka mtu upo hapa...
Usije sahau mambo muhimu sasa.... Au bado daku ππππππ€£π€£π€£π€£Amen thank you
working on that .
Nimekupikia wewe PokerWigelekelo naona leo umepikiwa kitu cha wali maharage utashiba lakini bila kaugali kidogo? π
daku ndo nn ?Usije sahau mambo muhimu sasa.... Au bado daku ππππππ€£π€£π€£π€£