MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,314
- 25,454
Mkuu Lovelovie kheri ya siku ya mfanano wa siku yako ya kuzaliwa.
UvuvihuuView attachment 2420052
Kwa Salio hili sijui kama nitatoboa Mwisho wa Mwezi [emoji2957]
Hello Friday [emoji847]
Helloowww babuu!! Unaelekea wapi babu??
Naomba efu kumi kumi 2
Pametuna πππ
Leo ni siku ya Kliniki yangu ya Macho, Uzee unanitesa Babu yakoπ€ͺHelloowww babuu!! Unaelekea wapi babu??
Heee maji mara 1, hakataagi
Nikutumie kwa Basi au kwa simu tugawane Tozo na Serikali?π€ͺNaomba efu kumi kumi 2
Lol pole sana babuu! sasa si bibi angekupeleka jamani huko barabarani utaona alama vizuri kweli babu??Leo ni siku ya Kliniki yangu ya Macho, Uzee unanitesa Babu yakoπ€ͺ
Happy bday mrembo, maisha marefu kwako [emoji1635]
Nimeomba usaidizi wa Mjukuu π€ͺLol pole sana babuu! sasa si bibi angekupeleka huko barabarani utaona alama vizuri kweli babu??
Kama hivo ni vizuri !! Safari njema Babu Enjoy your weekend!!Nimeomba usaidizi wa Mjukuu π€ͺ
Kwa simuNikutumie kwa Basi au kwa simu tugawane Tozo na Serikali?π€ͺ
Watakaoelewa kunyampa ni wachache sana haya bana kanyampe salama.Karibuni.. tukimaliza tuanze kunyampa [emoji23][emoji23]View attachment 2420067
ππππWatakaoelewa kunyampa ni wachache sana haya bana kanyampe salama.
Sent using Jamii Forums mobile app