Selfika na JF: Snap it. Show it

I think I'll be fooling myself πŸ˜‚πŸ˜‚
what do I gain by cheating ?
I know ni vizuri kuwa na back up lakini nishashindwa.

akizingua nabaki mwenyewe kama kawa πŸ˜‚πŸ˜‚ .
🀣🀣🀣🀣🀣 Sasa nyie ndo mnakujaga kuwa stressed stressed an mpaka mnajuta
 
Ya Ex[emoji848]

Ujue nini

Wanaume tupo kama vichanga

Angalia vinavyonyonya vikideka

Na kuweka nne kushika kidevu cha mzazi

Thubutu ukikatize

Ndio balaa linapoanza

Tupo hivyo
Haikuwa ya X

Just mtongozo na nikala ndoige πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…