Selfika na JF: Snap it. Show it

Kudadeki
Yule aliefanikiwaga kunistress
Alinambiaga natamani kuiambia dunia namna navyokupenda…

Mara siku ingine aniangalieee weee afu aseme unajua we ni karembo flan hivi ila wapiiiii, alikuja kuniacha kisa sms 1 tu.
Yaaas ila alituambia mbona the way you are... Ila ulikosea sana kuruhusu kuwa stressed...
 
Kudadeki
Yule aliefanikiwaga kunistress
Alinambiaga natamani kuiambia dunia namna navyokupenda…

Mara siku ingine aniangalieee weee afu aseme unajua we ni karembo flan hivi ila wapiiiii, alikuja kuniacha kisa sms 1 tu.
Ya Ex

Ujue nini

Wanaume tupo kama vichanga

Angalia vinavyonyonya vikideka

Na kuweka nne kushika kidevu cha mzazi

Thubutu ukikatize

Ndio balaa linapoanza

Tupo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…