[emoji1787][emoji2297][emoji2089]Wigelekelo a.k.a deadball specialist ( mtaalamu wa mipira iliokufa) [emoji23]
KeshoCarrasco putin popote ulipo yanga mmenunua hiyo mechi tushawajua wazee wa bahasha [emoji16]
Sote tunajua kuwa trab na trat ni mihogo fc lia lia. Hivyo leo wameuza mechi na kuhakikisha manywele anafunga ili atoe mkosi πKesho
Utaona status
Manywele nyoko nyoko
Nani kama utopolo
Wapuuzi sana
Yajayo yanafurahishaIf God wills
Sijui anachimbaga wapi..???ππππππShimba ya Buyenze yutong specialist
Pole Sana , hope everything will be okay ... Nimetoka church tumepewa neno zuri sana. ..Hayajakaa sawa kabisa ngoma bado ngumu Tinsley π₯Ί
The future is excitingYajayo yanafurahisha
Yaaah π€π€π€π€ ila bado mapema mnoooThe future is exciting
Mashallah hakika Mungu kanipa nilichomuomba! Raha sana kuwa na mtu wa kukufariji ya rabbi anipe utulivu wa moyo!Pole Sana , hope everything will be okay ... Nimetoka church tumepewa neno zuri sana. ..
nalo ni kuwa uvumilivu , tukiona Mambo hayaendi tusikate tamaa , tumuamini Mungu kuwa ni mwaminifu hatotuacha .
"""Raha sana kuwa na mtu wa kukufariji"" una uhakika π€£πMashallah hakika Mungu kanipa nilichomuomba! Raha sana kuwa na mtu wa kukugariji ya rabbi anipe utulivu wa moyo!
Unateseka kwani na penzi letu? π³ Au ndio ushaanza kutia mchanga?"""Raha sana kuwa na mtu wa kukufariji"" una uhakika π€£π
π€£π€£ππSio kuteseka tuu pia naumia... Very painfullπ€π€π€Unateseka kwani na penzi letu? π³ Au ndio ushaanza kutia mchanga?
πππKiufupi sijawahi penda kuona watu wanainjoi na wapenzi wao... SIPENDI SIPENDI GENERALLY an unainjoi vipi kwa mfanoππKwanini sasa uteseke au umemuelewa mrembo Tinsley
Mapenzi ni kuvumiliana, kuaminiana, kupendana bila choyo yoyote, kuheshimiana, kuliwazana na surprises za kutosha. Sasa vyote navipata iweje nikinai penzi la Tinsley kwake nimefika na mizigo nimetua sing'oki kama kisiki cha mpingo.πππKiufupi sijawahi penda kuona watu wanainjoi na wapenzi wao... SIPENDI SIPENDI GENERALLY an unainjoi vipi kwa mfanoππ
Umejimalizaa sanaaaaaaa yaan saaanaaaa ππππππππππππππ ngoja kitumbua tuweke mchanga π€π€π€π€π€π€π€π€Mapenzi ni kuvumiliana, kuaminiana, kupendana bila choyo yoyote, kuheshimiana, kuliwazana na surprises za kutosha. Sasa vyote navipata iweje nikinai penzi la Tinsley kwake nimefika na mizigo nimetua sing'oki kama kisiki cha mpingo.