Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,791
- 58,402
Duuh netnaija hiyoNikatoe 15k mlimani city kwani mm mwanamke? [emoji16]View attachment 2419542
Nenda Movie wewee π€£π€£π€£Nikatoe 15k mlimani city kwani mm mwanamke? [emoji16]View attachment 2419542
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π
Imeisha hyoDuuh netnaija hiyo
Nimegoma Siendi[emoji16][emoji16]njooni mniueNenda Movie wewee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£! Mi saizi ya Kati banaaaa mbona nabebeka vizuree tyu mbonaa,π€£π€£π€£πππ!!
Nikatoe 15k mlimani city kwani mm mwanamke? [emoji16]View attachment 2419542
Ugali mdogo sana jamani sa tutashibaje π€
π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23] Screen kubwa na sound effects za maana ila mle viti vinanuka uvundo balaa, ukiwasha taa uangalie vileviti ile rangi yake Nyekundu imebadilika na kuwa nyeusi sijui majasho ya watu yale [emoji41]
Ila wote tumeona na tumesikia hakuna utofauti[emoji23][emoji23][emoji23] Screen kubwa na sound effects za maana [emoji41]
Ukizidi kg 70 we bonge na marufuku kudekaππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£! Mi saizi ya Kati banaaaa mbona nabebeka vizuree tyu mbonaa,π€£π€£π€£πππ!!
Umenikumbusha SYB alisemaga mabonge yakideka yakasusa yanajitupa chini pwaahhπ€£π€£π€£π€£
Jua? Hapa kuna manyunyu hatari
Hapanaaa ππ€£π€£π€£π€£π€£!Ukizidi kg 70 we bonge na marufuku kudekaππ
Huku ishanyeshaa hadi keroooJua? Hapa kuna manyunyu hatari