Nyie msubir mtabebwa na maombi mlangoni hamuwez pitaππSisi tusio wembamba na tuna miili km mitungi ya kuwekea maji tumekwisha.
Depal
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
π Yaani vijana hawaachii kitu kwaajili ya wazee π pole ngoja mnyamwezi wangu National Anthem amesema baadae anaweka za 50k.Heeeh!!!ama kweli nazeeka..Yani na kua kote attention na bado bilabila..ππππpipoooozππ
Unapishana na G-Wagon
Mie mwenyewe 50k π€£π€£π€£ acha kwanza wale jeuri yao..π Yaani vijana hawaachii kitu kwaajili ya wazee π pole ngoja mnyamwezi wangu National Anthem amesema baadae anaweka za 50k.
Punguza njaaaa mdada mzuri hivyoNilikuwa standby
Unataka na huyo kumfuta π€£π€£π€£Tunaomba lift.
Mie nasubiri kupatwa na wewe kabisaaa π π π nasubiri hiyo fursa hata haikuji sijui nani kaniroga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Mr kahawa ntakutupia jini? Nataka niwafute wote, bado wee hapo.
Naweka vocha alafu hata kuambiwa napendwa haipo π π π acha nipambane tu huku huku kitaaaMkuu Antonnia dada yangu kakosa vocha huu ndio muda wa kuchukua point tatu muhimu ugenini.
π Ila watu mna maneno eti anataka kumfuta! πππUnataka na huyo kumfuta π€£π€£π€£
πππ Aseee.. Inabidi mshikwe, mnafanya vibaya ana familia huyo babaNiko nae hapa namkuna kidevu
Mtu anapotezwaaa mazimaaa, π π π na ID anabadiki JF anaingia kwa ratiba tena chini ya uangaliziπ Ila watu mna maneno eti anataka kumfuta! πππ
Acha nikufanyie zoezi π π π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa mpoleeee naanza m1 m1, zamu yako itafika tyuuh.
Kwani tuliambiwaje wadada wa huu uzi? Acha tuendelee kukuza brand ya njaa π€£Punguza njaaaa mdada mzuri hivyo
π€£π€£ πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Itel, bontel π€£π€£Ndyo kiswaswadu hicho, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee mtu akupe itel kweli?
Hizo akili zikikutana π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!!!Mie nasubiri kupatwa na wewe kabisaaa π π π nasubiri hiyo fursa hata haikuji sijui nani kaniroga