National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Zawadi gani ππUniletee dhawadiiii ππ
The real African biuriiiiiiiiii ππππ!! Dimpozzz hizooππππππππ
Ndio ivo mamaaa!Akya nani
mbona kazi nzito hiyo
In short unmuache afanye vile anavyotaka .
Ukifanya inahitaji umuignore piaNdio ivo mamaaa!
Hahahaaa!!Ukifanya inahitaji umuignore pia
moyo huu umeumbiwa nyama
Surprise me.... πZawadi gani ππ
WeeeUkibarikiwa pregoo ukapenda nitakutumia maboksii kibaooo ya buree kabisa!!
π€£π€£π€£ ndio wanapendaaSi tumeambiwa tuwape peace of mind dear tuwalee kama watoto tuwape uhuruuu tusiwahojihoji maswali ya kiwakiii tusiwashutumu with no reason no wivuu wa kijinga ..in Depas voice!!
Labda kama hamna shughuli zingine za kufanyaSi tumeambiwa tuwape peace of mind dear tuwalee kama watoto tuwape uhuruuu tusiwahojihoji maswali ya kiwakiii tusiwashutumu with no reason no wivuu wa kijinga ..in Depas voice!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaha noma [emoji23]
usimfanyie hivyo lakini
Kweli dearHahahaaa!!
HaswaaaahIla mna mchango mkubwa sana kwa jamii, walimu mzidi kubarikiwa sana tena mno [emoji120] [emoji8]
πππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£!Labda kama hamna shughuli zingine za kufanya
Huo muda bora ukabembee kwenye bembea za watoto
Na mahug na makiss juuπ€£π€£π€£Kweli dear
yeye ana wanawake wengine huko na wewe eeh umetulia tu .
Arudi saa saba usiku , unamuambia karibu Kipenzi changu π€£π€£.
DadeqMlezi wa wana endelea kulea tall dark handsome π€£π€£π€£
Bado dada mtu yupo?Dadeq
Hatoboi π€£π€£π€£π€£
Heri maumivu at once kuliko maumivu per day
Ndioo dear... T Unaniua Mbavuuuuu ujue!!Kweli dear
yeye ana wanawake wengine huko na wewe eeh umetulia tu .
Arudi saa saba usiku , unamuambia karibu Kipenzi changu π€£π€£.
siwezi unafiki mie ππNa mahug na makiss juuπ€£π€£π€£
Kha bora kufa single kama mambo yenyewe ndio hayo
Uvumilivu huo hapanaNdioo dear... T Unaniua Mbavuuuuu ujue!!
Kuna vijana wanajua kubembeleza wewe, mwenyewe utajikuta na chai unampikia usiku huo π€£π€£siwezi unafiki mie ππ
jamni nitakuangalia macho makali , mdomo nimekunja π€£π€£