Selfika na JF: Snap it. Show it

hahaha una uhakika na unalolisema mkuu
Unataka nimwage mchele hapa ?

Kwa uzoefu wangu watu wanaofanya kazi kwenye vyombo vya usalama wana maadili ya usiri sana. Sio kawaida kuanika wazi Identity zao kama unavyofanya wewe unless anafanya hivyo kwa mtu /watu wanaomfahamu. Hivyo ni rahisi kuku spot kwamba wewe sio mhusika wa hizo pics.
 
umeongea vizuri sana!
Namimi siwezi kutoku kuaminisha unavyoamini.


Hahaha kwaiyo huu mwili ni mtu mwingine. Basi sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…