Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,378
Akiyanani 😂 😂 😂 mimi najua kupika?Kama Unataka demu sema unataka aweje na mkienda viwanja je ungependa avaaje?
Unataka mwenye hips kama Antonnia
Unataka mwenye kiuno cha dondola kama Tinsley
Au awe mweupe kama Alayna
Au modo kama cocastic
Mwenye lips denda kama za sophy27
Au awe anajua kupika kama Saint Anne
Au mwenye mvuto kama Lenie
Au sauti nyororo kama Lovelovie
Au aliyeshika dini kama Heaven Sent
Au mwenye miguu ya bia kama Nuzulati
Mwenye chuchu sa sita kama Kelsea
Mwenye wowowo kama Rumaiya
Mambo safi kabisa, uliniona wapi mchumba?😅Nipo hapa mchumba😘😘
Mambo
Kuna muda nilingia nikakuona
Nikakumezea tu mate.
Niliona umepost zile quotes zako za kimltivational speaker..Mambo safi kabisa, uliniona wapi mchumba?😅
Ningeshangaa sana usingeona😅Niliona umepost zile quotes zako za kimltivational speaker..
Nikataka nikuquote.
Leo ulikua busy na nn?Wewe tena
Roho yangu ilipo
Kuna kazi hapa nafanya mchumbaLeo ulikua busy na nn?
Ahaaa normal call itakua ishu may be whatsapp call😅Kuna kazi hapa nafanya mchumba
Haiendi kabisa nikiwa nachat😂
Nimemiss sauti yako tamu ile🤭
😂 Yupo Elizabeth hawezi kosa!Haaaa, Hamjamtaja [mention]Lizzy [/mention] Naandamana[emoji41]
[emoji23] Yupo Elizabeth hawezi kosa!
Vp umemuelewa sana toto la kichaga![emoji23]Anafaa sana mkuu.
Fanya hima mchumba,hata voice note tuAhaaa normal call itakua ishu may be whatsapp call😅
Sawa mchumba!Fanya hima mchumba,hata voice note tu
Roho yangu ipate kupona😂
Selfika kwanza mchumba😍😘Sawa mchumba!
Leo zamu yako mchumbaSelfika kwanza mchumba😍😘
Mimi selfii zangu nyingi bwanaLeo zamu yako mchumba
Ahaa nyingi za muda, weka now!Mimi selfii zangu nyingi bwana
Selfika mchumba wangu nikuone 😍
Uzuri wametuachia jukwaa tujimwayemwaye