National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Nitaubeba ππ
Niliona interview yake na ICU, heri aendelee kumfukuzia Patrick tu..
Nime cancel audiomack, nimeona kama siwaelewi πNitaubeba ππ
Umemtamani jamaa watu eeh π€π€Niliona interview yake na ICU, heri aendelee kumfukuzia Patrick tu..
Yule jamaa anavutia
Audiomack ha kiwaki sana, vitu vingi hainaNime cancel audiomack, nimeona kama siwaelewi π
Hapana, ila hapo kwa huyo alopiga naye picha hapana kwa kweliUmemtamani jamaa watu eeh π€π€
Ndio maana wanachaji 5200Audiomack ha kiwaki sana, vitu vingi haina
Sema ataishia kupigwa sana huyu dada hadi achakae.. ππ hakuna kitachobaki salama hapoHapana, ila hapo kwa huyo alopiga naye picha hapana kwa kweli
ππ sema hako ka toto ni kazuriSema ataishia kupigwa sana huyu dada hadi achakae.. ππ hakuna kitachobaki salama hapo
πππ lipia ya miezi sita ufurahieNdio maana wanachaji 5200
Apple music 7500
Nakula maisha week 3, ya 4 nacancel, napumzika 1 naingia tena kwenye 1month free trial ππππ
Hana uzuri wa ajabu hata wewe una mshinda, anatumia media tu ndio maana.. ila hamna ajabu lolote..ππ sema hako ka toto ni kazuri
7500*6 = 45Kπππ lipia ya miezi sita ufurahie
Anao bana πHana uzuri wa ajabu hata wewe una mshinda, anatumia media tu ndio maana.. ila hamna ajabu lolote..
ππππ nakuchangia buku tano basi π€£π€£π€£7500*6 = 45K
Hela ya maziwa ya mtoto π€£
Hamna kitu pale, kajua kutumia mitandao na kuwakamata waandishi wa habari kuji promote, ila hana uzuri wowote wa kawaidaaa sanaaaAnao bana π