WapooooWanaoongelewa hapo ni wanaume hawa hawa wa hii sayari, tena bongo hii ??
Labda kama wapo wa sayari nyingine huko, asawaiz usijidanganye my sistaaa😂
Nyie wenyewe mmeishavurugwaExactly
Momo he is one of a kind 🥰 sikatai but jichanganye uingie kwenye 18 ndio uje hapa ubishe hii kauli yanguWapoooo
Na mfano mzuri ni momo
Kama wa kwenu ni pasua vichwa poleni 😂
Njoo 😋😋Mishangao inaniumiza macho bwana we ukojee National Anthem
Kwenye 18 zipi ? 😂😂😂Momo he is one of a kind 🥰 sikatai but jichanganye uingie kwenye 18 ndio uje hapa ubishe hii kauli yangu
Washa WiFi chapNjoo nikugaie bundle kwanzaView attachment 2413401
When it's time to get married to tall dark handsome 🤣🤣🤣Kwenye 18 zipi ? 😂😂😂
Mshtue dogo kama yupo jirani aje amalie weekend home 😃😃😃 ndio nitamuwashia wifi bundle lenyewe lipo mbioni kuchachaWasha WiFi chap
😂😂😂😂🙌 sa itakuaje kungwi?When it's time to get married to tall dark handsome 🤣🤣🤣
Ameboa 🤣Yaani wewe National Anthem na hiyo mishangao yako, kwanini lakini
Utajua hujui 🤣 🤣😂😂😂😂🙌 sa itakuaje kungwi?
Yuko darasani sahiviMshtue dogo kama yupo jirani aje amalie weekend home 😃😃😃 ndio nitamuwashia wifi bundle lenyewe lipo mbioni kuchacha
Sana yaani, natamani kumbonda angekua karibuAmeboa 🤣
Akitoka leo weekend nikapeleke movieYuko darasani sahivi
Nimefumba macho nikavuta pumzi ya hisia 🤣🤣🤸🤸🤸Utajua hujui 🤣 🤣
Akitoka anaenda nyumbaniAkitoka leo weekend nikapeleke movie
Tumtupie yai vizaSana yaani, natamani kumbonda angekua karibu