Umeamua unitusi live T jamani π!!Wewe bado mrembo sana
pisi kali yetu hapa selfika
Bado sijanyoa mjomba ila nina kichwa kibayaaaEbu nione
Ila down kizuriii , chini panafunika juu π€£π€£Bado sijanyoa mjomba ila nina kichwa kibayaaa
natamani ningekuw na hako kadogo .Mimi kakwangu kadogo kama katuni π€£π€£π€£π€£π€£ ntachekesha π
Nope MadamUmeamua unitusi live T jamani π!!
Mie zinaendaga chache kwelinatamani ningekuw na hako kadogo .
nikienda kusukwa , mabunda ya Rasta yanaenda mengi.
Kakichwa kana midomo mizuri, kweli wewe huependezi kunyoa shangazi wangu
Ooh unacho kidogo ndo maanaMie zinaendaga chache kweli
π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππ Ndiomana nasema nikinyoa nachekesha πKakichwa kana midomo mizuri, kweli wewe huependezi kunyoa shangazi wangu
Beautiful .
π€£π€£π€£π€πππ€π€Ooh unacho kidogo ndo maana
hauna mashavu makubwa pia
Kama mdomo kazuri hako ka Bj kabisaa π€£π€£π€£ uwe na jioni njema shangazi nikalale sasaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£πππ Ndiomana nasema nikinyoa nachekesha π
Asante mjomba enjoy your evening..βοΈβοΈKama mdomo kazuri hako ka Bj kabisaa π€£π€£π€£ uwe na jioni njema shangazi nikalale sasa
Napenda kulala sana aisee, napokuwa na nafasi ya kulala, kuna kipindi huwa sipati kabisa nafasi ya kulalaWee huchoki kulala mjomba??!!!
Have a good time mjomba!! Ukipata muda pumzisha Akili mwaya!Napenda kulala sana aisee, napokuwa na nafasi ya kulala, kuna kipindi huwa sipati kabisa nafasi ya kulala
ona cha kwanguπ€£π€£π€£π€πππ€π€
Ningekuwa nimelala kwenye mapaja ya shangazi usingizi chap kama katoto π€£π€£Have a good time mjomba!! Ukipata muda pumzisha Akili mwaya!
Mashavuuuuπ€π€π€π€π€π€ππππ!! Ila sio kikubwa sana dear Mwenzio napenda kuwa na mashavu eti!!ona cha kwangu
ππππ Mjomba lala kwanza akili ipumzike !Ningekuwa nimelala kwenye mapaja ya shangazi usingizi chap kama katoto π€£π€£