Thank you πPolee,
Soon, he will come.
Badilisheni style, wanao faidi hawa ma aunty zetu , ni wasio comment, wao wanaishi PM huko πππ.. sie tunao pita pita hapa kwanza inaoneka kama majoblessHahaha, nimecheka sana...
Na sisi wapenzi watazamaji tusio na bahati tusemeje sasa.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππππ! Akili zako sasa πππSio kweli mie mwenyewe, nimefukuzia sana humu lishangazi moja lakini wapi.. nimeishia kubandika picha zake gheto
beautiful
πππHahaha, nimecheka sana...
Na sisi wapenzi watazamaji tusio na bahati tusemeje sasa.
ππππ nimebandika vipicha japo havipo clear ila ndio ivooo yaani π€£π€£π€£ nitamtuma Wigelekelo akuletee S22 Ultra nipate zenye clear kabisaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππππ! Akili zako sasa πππ
I'm okay vipi wewe ?Nzuri,
Uko poa mrembo?
Kumbe eeh, ngoja hili nalo tulitizame hakyanani. Kumbe zipo silent killers nyingi humu...Badilisheni style, wanao faidi hawa ma aunty zetu , ni wasio comment, wao wanaishi PM huko [emoji3][emoji3][emoji3].. sie tunao pita pita hapa kwanza inaoneka kama majobless
Shape Wapi dear Kamera tu hio!!!beautiful
Naona shape kama lote
ipo blur kidogo ..
Hello binti mrembo![emoji23][emoji23][emoji23]
Hello Kaka
Nimekuwekea hapo juu mjomba sina deni mjomba!!ππππ nimebandika vipicha japo havipo clear ila ndio ivooo yaani π€£π€£π€£ nitamtuma Wigelekelo akuletee S22 Ultra nipate zenye clear kabisa
πππ ishi kama sniper , utafaidi sanaaa mzeeKumbe eeh, ngoja hili nalo tulitizame hakyanani. Kumbe zipo silent killers nyingi humu...
..najitahidi sana ila holla asee!
Ipo imejaa teleShape Wapi dear Kamera tu hio!!!
Asante kipenzi
Juu wapi sijaona wala hujanitag π₯²π₯²π₯²Nimekuwekea hapo juu mjomba sina deni mjomba!!
Nakuja kuifata mwenyewe mjombaaaa nianndalie aiseeπππ€©π€©ππππ nimebandika vipicha japo havipo clear ila ndio ivooo yaani π€£π€£π€£ nitamtuma Wigelekelo akuletee S22 Ultra nipate zenye clear kabisa
nimekutag mbona mjomba wangu kwa kususa nakujuaaaaππππJuu wapi sijaona wala hujanitag π₯²π₯²π₯²
ShikamooHello binti mrembo!
Mimi niko Good.I'm okay vipi wewe ?
Huamini dear ni Kamera tu sina maajabu yoyote hata!Ipo imejaa tele
huwezi jifananisha na sie flat screen.