Selfika na JF: Snap it. Show it

Na hata huonekani kama kichwa yako unaweza kuifanya ngumu😆😆
Nisamehe bure 😅
Pole aise..lakini maji ya kuoga si yanapatikana?au hata maji ua kuosha vipele ni changamoto 🤣🤣

Mapema San nitakuwa huko ngoja nianze kujiandaa kisaikolojia
Huku mgao wa maji unasumbua Sana,hapa home Kuna kisima Cha kuchimbwa ila mota insvita hewa badala ya maji chini. Ukame unasumbua sn.

Siku hizi asubuhi napiga passport alafu naingia job kibabe. 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…