Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,290
Asante dear 😘Ohh ni mkubwa jamani , hongera umekuza .
hapi apate mdogo , aache kudeka
kila la heri kwa mdogo wa junior .
Asante dear 😘Ohh ni mkubwa jamani , hongera umekuza .
hapi apate mdogo , aache kudeka
kila la heri kwa mdogo wa junior .
Namie mnialike Kwahio parte pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Nasubiri party ya yolly tu nije .
karibu SasaNamie mnialike Kwahio parte pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Sheka adabu yakooo dogo ! Salamu zimefikaaaMsalimie dogo janja shemeji Ila una upaja shem unang'aa tu![]()
Uje na PokerNasubiri party ya yolly tu nije .
Khee kumbe ulikuwa mbweniNipe invitation
Jana na juzi nilikuwa huko ...
Mwanao kafanana na MjepSheka adabu yakooo dogo ! Salamu zimefikaaa
Yeah nilikuwepo hukoKhee kumbe ulikuwa mbweni
Hahahhahahaha. Men supporting men nimeipenda hio!! Eehh dear kunjua moyoooo uinjoy🤣🤣karibu Sasa
Mweh Putin hataki mtu aende single kwenye hiyo party 😂😂😂
ndo maana anananipamabania hapa 😂
Yolly hapend mgen wa Kike aje pekee akeNakuja mwenyewe tu .
Ulifika nyumbani kwa kina PokerYeah nilikuwepo huko
kuangaza macho ..
True love comes with jealous in it😂😂!Yolly hapend mgen wa Kike aje pekee ake
Huyu ni mwehuuu!!
mchokozi Ila tushamzoeaHuyu ni mwehuuu!!