Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Kuwa na adabu ww binti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kupatwa kwa mapenzeeeee!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Mpe hongera zakeeee atakua mpare koko huyoo[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]!!
weuweeeh , kila la kheri 😍❤️❤️Nimemmiss vya hatarii 🤸🤸🤸🤸♥️ Anarudi desemba sio mbaliiii!! Mwakani wa 9 andaa zawadi tyu🧑🍼
Shikilia hapo hapo KakaJaman yolly yolly[emoji7][emoji7] ubarikiwe soon nakuja dar huyu mwanamke siwez kumuacha jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 2409580
Tukaangalie movie uje na PokerShikilia hapo hapo Kaka
amekumiss mingi mingi...
Kha aise 😂😂😂
Nyie ndyo mnialike kwenye honeymoon yenuKha aise [emoji23][emoji23][emoji23]
tukutanishe Basi [emoji23][emoji23]
Msalimie dogo janja shemeji Ila una upaja shem unang'aa tu[emoji39][emoji39]Asante kipenzi Junia Saivi linanidekeajee kaaa naukubwa wote huu imagine saivi tunakula tumepakatana 5 years lol!! Arudi tu Junia akili zikue!!
Ohh ni mkubwa jamani , hongera umekuza .Asante kipenzi Junia Saivi linanidekeajee kaaa naukubwa wote huu imagine saivi tunakula tumepakatana 5 years lol!! Arudi tu Junia akili zikue!!
Lini mnakuja mbweni ww na mpenzi wako Pokerlol nikuache [emoji23][emoji23]
itakuwa tinsley mwingine
Nasubiri party ya yolly tu nije .Nyie ndyo mnialike kwenye honeymoon yenu