Ndege ina sehemu kadhaa ambazo zinaweza kuingiza Maji, Kuna mahali pa kutokea matairi ikiwa inatua au kupaa(Hii inawezekana ikachangia Kwa sehemu kubwa manake inaonekana ndege ilikuwa inajiandaa kutua) Lakini pia pembeni kwenye wings, kwenye Mlango pamoja na zile emergency doors n.kπ€£π€£π€£π€£π€£Pole sana babuu!! Kuna swali huku walimu wanabishana hebu tusaidie babu yetu eti ndege ilivozama watu walikufa kwa kukosa hewa wengine kwa kunywa maji mengi ndio mabishano sasa kwamba kwenye ndege hakuna nafasi ya kuingiza maji wengine wanasema ipo mjukuu wako hata sijuiiii hebu nieleweshe kwanza babu!!
Kwanza sina shida ya kufanya matusi hata, ππNdio utafute hela, wawe wanakuletea wenyewe bila wewe kuomba
Sema huna helaaaa, shida unayo hadi inamwagika hapoπ€£π€£π€£Kwanza sina shida ya kufanya matusi hata, ππ
Umeongea kwa uchungusanaππSema hatuna hela hatuna kazi ndio maana hamtupi ila fresh ππ
Lol wabheja sana babu ujingaring solved!Ndege ina sehemu kadhaa ambazo za zinaweza kuingiza Maji, Kuna mahali pa kutokea matairi ikiwa inatua au kupaa(Hii inawezekana ikachangia Kwa sehemu kubwa manake inaonekana ndege ilikuwa inajiandaa kutua) Lakini pia pembeni kwenye wings, kwenye Mlango pamoja na zile emergency doors n.k
Nina Imani wengi waliofariki, Vifo vyao vimesababishwa na Maji kuliko changiwa na kukosa hewa.
ππ hapa nipo nimetulia miguu juu, hata muingia chumbani chiu sina time na mtu nitabaki hapa nachart jfSema huna helaaaa, shida unayo hadi inamwagika hapoπ€£π€£π€£
Eneseketeshaaa sana, kwa ubaguzi mnaotufanyia ππUmeongea kwa uchungusanaππ
Mnato ndio nini tena ππ mguu wa selfi kabisaa huu πππ au sio wewe huyu ebu juu juu kidogo na chuma hivi tuone kama ni weweYa kutengeneza itakuwa haina mnato π€£ View attachment 2409324
Si hauna nguvuuuu πππ hapa nipo nimetulia miguu juu, hata muingia chumbani chiu sina time na mtu nitabaki hapa nachart jf
Eneseketeshaaa eeeβ¦safiππΏππΏEneseketeshaaa sana, kwa ubaguzi mnaotufanyia ππ
Seneee tu, tuna mapipa ya maziwaa π₯²π₯²Eneseketeshaaa eeeβ¦safiππΏππΏ
ππMnato ndio nini tena ππ mguu wa selfi kabisaa huu πππ au sio wewe huyu ebu juu juu kidogo na chuma hivi tuone kama ni wewe
Nguvu za kazi gani sasa, huku hazitumiki πππ. Bado kitandani hadi mda huu niamke sijui niende papparotiSi hauna nguvuuuu π
Af saa 9 hii chalii angu, usisahauuuuu lile jambo saa 12
Kwenye familia ya Momo neno lako ni sheria , lazima ifatwe πNaomba cement na mchanga tasavali
Sitaki usaidizi, nitaijenga mwenyewe mwanzo mwisho π π
Ebu tuone basi, sema huo mlonjo ina viashiria vyote vya manato Ultra ππ wenye kupendwa wanafaidi dahππ
Eeh hapo hapo.Nguvu za kazi gani sasa, huku hazitumiki πππ. Bado kitandani hadi mda huu niamke sijui niende papparoti
Ukuje ya MasakiNguvu za kazi gani sasa, huku hazitumiki πππ. Bado kitandani hadi mda huu niamke sijui niende papparoti
Papa ππEeh hapo hapo.
Amka pls ujiandae.
Hakiyanani Momo akifa haozi π€£π€£Kwenye familia ya Momo neno lako ni sheria , lazima ifatwe π