Nilikuwa nakukumbusha tu maana yeye ndio google yako.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndiyo na mimi ikabidi nijiulize hii mathayo ilifika lini huko 56 au biblia ndiyo imeshabadilishwa sie wengine bado tuko na old version?? Halafu huyu mdogo wako si alisema yeye hasemagi uongo??[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Roho mbaya haijengi mkuuNop, Never.
Umefurahiiii mkweeee wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwakweli.Umefurahiiii mkweeee wangu
Pamoja Na Kwamba Pesa Imekua Ngumu Tofauti Na Zamani, Bado Mtaani Biashara Ndogo Ndogo Na Kubwa Zipo Nyingi Sana. Ukiona Una Biashara Jitahidi Sana Kua Na Customer Care Pamoja Na Uaminifu Hata Kama Huna Mtaji Wa Kutosha Wapo Watu Watakuja Kwako Kwa Sababu Ya Hizo Terms Mbili.
FORECASTING: Uchaguzi huu tumeshinda kwa kishindo, nawaomba mliochaguliwa mkachape kazi. Kuna watu waliosusa ni kwasababu walijua watashindwa
Sasa Tz yote iko chini ya CCM, maendeleo yatakuja. Vyama vingine vilikuwa vinatuchelewesha. Watangulizi walikuwa wanafanya mambo ya hovyo
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunatofautiana tu uzito.
Nilikuwa nakukumbusha tu maana yeye ndio google yako.
Roho mbaya haijengi mkuu