hatari aisee πBaba Yolly mwehu yule Akili zake anazijua mwenyeweeπ
Weee kwanini sasa mjomba nawee! !Wee hutaki safisha macho mjomba!! Najua wapenda ushari shariii πππSiku hizi siangaliagi picha hata πππ
π π
Mnooooooo!!hatari aisee π
ni mcheshi balaa .
hakika funny guy indeed .Mnooooooo!!
Dada wangu unapoteaa sanaa, ππππ π
Kaka nakusalimia habari yako
Majukumu kaka yanakaba +uzeeDada wangu unapoteaa sanaa, πππ
Ebu nione kama umeanza kuzeeka π« π« π«Majukumu kaka yanakaba +uzee
Familia haijambo lakini
Tumekumic pia dada etyu
Wow ni jambo la kheriEbu nione kama umeanza kuzeeka π« π« π«
Familia haijambo tupo tumelala leo weekend labda ufanye kututoa out
Kwa uzee gani muone!! Wenzio tunaulaani uzee wee unauliliaa shauri yakoππππ!!Majukumu kaka yanakaba +uzee
Familia haijambo lakini
ππππ kwani mlikubalianaje na shemeji vocha Mjep au kaisha kengeuka tayariWow ni jambo la kheri
π π hapo kwenye uzee niachie fanya namna mdogo wako nitoke nyumbani
Nakuja kuwatoa msijalii π₯° nipeni location
Madam nimezeeka achaa πKwa uzee gani muone!! Wenzio tunaulaani uzee wee unauliliaa shauri yakoππππ!!
Location utuchagulie tu, sie tutakufata unae tutoa outππWow ni jambo la kheri
π π hapo kwenye uzee niachie fanya namna mdogo wako nitoke nyumbani
Nakuja kuwatoa msijalii π₯° nipeni location
Ana balaa walai wenzio hata hio shangazi tunaitikia ni basi tyu nani anataka kuzeeka πππ€π€ eti ye ajiita mzee binti kigoriiiiiii mbichi kabisa!!Ebu nione kama umeanza kuzeeka π« π« π«
Familia haijambo tupo tumelala leo weekend labda ufanye kututoa out
π¬π¬π¬ dalili ya mvua mawingu, saka kwanza hela dada yangu asije kunyanyasaNisaidie kuongea nae ananitesa huyoo mpaka nakoma π₯Ί
Uzee mwisho chalinzeee usiwatanieee wapee ivoivo nauzee wakoo !! Au nasema uongo mjomba National Anthem ??? πMadam nimezeeka achaa π
Najiona kabisa uzee huu hapa kwa jinsi siku zinavyoenda kasi
ππππ Asibe Happy ni mwisho wa maneno.. huwa naipenda sana hii ngoma kwenye safari ndefuuUsifananishe Asibe Happy na vitu vya ajabu, mkuu. ππ₯