Nkamu huyooo
Una saa nzuri
Mkuu, kuna pete hapo[emoji12]
Kama wewe tu chiefKumbe una ka wivu wivu[emoji848]
Ccπ‘Saint Anne
anahutubia alafu kwa Mic ππ enaumaaa sanaaaa selfi kaona hatufai kakimbia kwa mgeniKwamba
Sista anacheza na Libolo Fc
Mchana huu hapo sebuleni stadium[emoji848]
Kakake usimsikilize huyo, hanitakii memaKwamba
Sista anacheza na Libolo Fc
Mchana huu hapo sebuleni stadium[emoji848]
Baada ya half day tukae sehemu vere local na kula mbuzi...eeh mbuzi na mvinyo uliobarikiwa na bwana!! six[emoji123]View attachment 2406633
ac , feni upepo wa bahari ni kuhubiri tu na micJua bado kali, nikilowa jua litanikausha
Pensi iyo kamandaNaona unaipiga ukiwa uchi [emoji91]
Unajua wewe sio mzimaππac , feni upepo wa bahari ni kuhubiri tu na mic
...eeh uweke wazi mapema mkuu, wakulungwa wakiona peteless wanakuwa motivated[emoji1787][emoji1787]ipo ila niliisahau asubuhi kuvaa[emoji3]
ndio imeanza kwenye kochi π¦π¦π¦Unajua wewe sio mzimaππ
Em fanya kazi huko, me weekend ishaanza kitambo
Niliianzia beach kula mihogondio imeanza kwenye kochi π¦π¦π¦
Eeh mkuu, hapa zinajaa gari ikifika saa kumi hata parking hamna. Watu wanapenda kufurahi jamani acha kabisa.Bora hata nyie mna half day [emoji19][emoji19]
hapo pa mbuzi sasa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Kosa atalijua akishakula kipigoKafanya kosa gani kwani
kitu cha muhogo wa kipakistanii hii mwanawaneNiliianzia beach kula mihogo
Huo ni uonevu ujueKosa atalijua akishakula kipigo
inakuwa fullsana πππ...eeh uweke wazi mapema mkuu, wakulungwa wakiona peteless wanakuwa motivated[emoji1787][emoji1787]
Hatari lakini salamakitu cha muhogo wa kipakistanii hii mwanawane
ulikaa au ulisimama wakati unakulaHatari lakini salama