Selfika na JF: Snap it. Show it

Eeeeeh Kanoute ni Main Crush,

Wee yule yuko full package, yaan amekamilika,

Kwa kanoute hakuna anae chomoka, uwiiiiiiih
😍😍😍
hapana chezea weuweh

Kanoute ni mtu na nusu πŸ‘ŒπŸΏ
 
Eeeeeh Kanoute ni Main Crush,

Wee yule yuko full package, yaan amekamilika,

Kwa kanoute hakuna anae chomoka, uwiiiiiiih
Kanoute wa ulaya au wa Simba?

Mbona kanoute hapata number ata KMC kwa majogoro?

Sijaongelea AZAM

acheni kupamba mavi maua kanoute ni average player sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…