Hiyo ni uwakika mbona kashanunua vocha tayari we tulia tuli aje aumwagilie moyo wako na vocha ufurahi mwenyewe. Na ameahidi kama utazidisha mapenzi kwake ikiwemo kumjulia hali kila wakati na kumchora tattoo basi atakununulia Jeep Wrangler na atakuhamisha kwa muhindi uje usimamie migodi yake huku bariadi.
Lenie nyota yako inang'aaa mama