Nimeweka ila kwa kuwa mmelala sidhani kama mtaikuta
Mkuu kilozilozi inawezekana. Kuna habari mbaya hapa kwamba jana Sakayo alikutumia ukiwa gizani baada ya zile spirits[emoji3][emoji3]Dah cha kusimamia hewani... Binadamu hawezi hii style
Morning Kaka shemeji, I mith yu too.Good morning family.... morning rookooo
cute b mama p[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
Atoto shem darling
Mshana Jr aka mr liquid
mkwepu jr mr likes
Sakayo mama wa imani leo utupe neno
sanchez magoli hongera kwa kutulindia nchi imetulia
[USER=552140]Karma miss you..[emoji173]
Heaven Sent picha mama bado tunaisubiri....
Watu8 another mr like....
Shunie
Eli79 my bro heshima kwako.
Depay [emoji179]
Transcend ushatoka moshi??
sweet manka ile tungi ya jana unibakshie basi
Hawachi miss yo
Bint sayuni sant anne Bwana asifiwe
Zurri
Dada shemeji Hannah miss you
Class mate Youngblood unaendeleaje....
[USER=401770]Denvers
Asante[emoji178]View attachment 1258891
I took this snap on my birthday two month ago at Kaya Pallazo Hotel & Resort .. Hii hotel ni kiboko [emoji7][emoji7]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Beberu mwitu Oneni jamani Mwenzetu anatembelewa hadi chuoni na vitu vizuri, wakina sisi tutaendelea kutembelewa na mikosi mpaka lini?
maisha haya sisi wengine tulikosea wapi?
Morning Kaka shemeji, I mith yu too.
Haujaenda kusali Leo?
Nimemiss kukuona jamani 😔Asante[emoji178]
Dah cha kusimamia hewani... Binadamu hawezi hii style
Oohh huyo sijamkuta sasa hivi panaitwa kwa Mgawe au Kan'tangaze
Mama P yeye kaendaje.Mvua.... imezuia. Ila naifatilia mubashara hapa kwenye radio
Babe kaniambia nilizopost zimetosha anaona wivu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].Nimemiss kukuona jamani [emoji17]
Yeye haogopi mvua hata...! Ukimwambia akae asiende anaenda hivyo hivyo. Ameniwakilisha.Mama P yeye kaendaje.
Bebe alikuzia....? Dah....Babe kaniambia nilizopost zimetosha anaona wivu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Mimi nipo tuu nasambaza maupendo ya likes.
Wewe ni ibada kivipi???Ibada ni mimi...
[emoji178][emoji178][emoji178][emoji178]