ndege huwa yupo mwenyewe tu akitafuta chakula .ndege huwa yukoje?
Wasi wasi akili
Ndo ameshakubali hivyo mdogo wangu hana makuumkuu Mjep njoo kaishakataa huku
sawa nimekuelewa rafikindege huwa yupo mwenyewe tu akitafuta chakula .
mmh haya chiefNdo ameshakubali hivyo mdogo wangu hana makuu
Mi ngoja nitafute nchi ya kuhamia kwakweli [emoji848]Net inaenda kuwa anasa nadhani, kila ukitaka kuweka bundle unaona wapepunguza kiasi fulani cha MB wakati gharama ziko pale pale...enewei, endeleeni kuselfika wakuu.
20k nilikua napata gb11 kwa mweziVP tena wamepunguza?
Kuwa tu dalali kaka yanguInabidi niwe dalali tu maana wewe na National Anthem mnanitisha
njoo lubumbashi,drc ule michopooMi ngoja nitafute nchi ya kuhamia kwakweli [emoji848]
Fanya tu kunitumia nauli[emoji4]njoo lubumbashi,drc ule michopoo
hahahaha,we nauli za mjini tu unakula,ya huku utafanya mtajiFanya tu kunitumia nauli[emoji4]
Aisha Mtetemo upoDuh umeolewa nilipoona emoji tu nikashtuka
Na tutakuua kweli 🤣🤣🤣🤣 hachezewi yuleAlayna ni wangu tuu hata mniuueee😜
Aisha ndo jina langu la kike
Nasingiziwa mimi [emoji17]hahahaha,we nauli za mjini tu unakula,ya huku utafanya mtaji
hahahaha mbn nasikia ndo zakoNasingiziwa mimi [emoji17]