Ndio Boss.Soda elfu4?
Acha uchokozi π€¨π€¨
Anataka niharibia mdogo wangu AlaynaHuyu ni kicheche
Itabidi tumpunguze kasi
Anataka niharibia mdogo wangu AlaynaHuyu ni kicheche
Itabidi tumpunguze kasi
Ni [emoji91] ii kitu
Nimekubali kuwa wewe ni kifaa..
Nishamlipia mahali mwali wangu, kuanzia leo anaitwa Aisha mtetemo National .. najilia vyangu tu hapa mtoto anapika huyo π€£π€£π€£Hiyo vita unayoitafuta sio ndogo shauri yakoπππ
Niachieni Aisha wangu mie π€£π€£π€£π€£ najilia memaKuna matusi unatafuta mie sipoππππalu ini aluuuu ni karembo sana
Naomba niwaachie mirindimo yenu mnajijua wenywe πππIla Iβm happy for you manNishamlipia mahali mwali wangu, kuanzia leo anaitwa Aisha mtetemo National .. najilia vyangu tu hapa mtoto anapika huyo π€£π€£π€£
Wifi yako Aisha mitetemo FK21 anakusalimia hapa.. me too my sis ππNaomba niwaachie mirindimo yenu mnajijua wenywe πππIla Iβm happy for you man
ππππππ Wifi yako aisha mitetemo FK21 kaniomba nilale.. By my sister uwe na usiku mwema, kesho mtanisaidia saloon gani nzuri nimepeleke wifi yenu akapodoleweNimecheka mpaka nimepaliwaπππππuna nini lakini
Mimi mzima kaka yangu naona unajihusisha na shemπ
Melo aeke kipengele cha voice noteππππππππ Wifi yako aisha mitetemo FK21 kaniomba nilale.. By my sister uwe na usiku mwema, kesho mtanisaidia saloon gani nzuri nimepeleke wifi yenu akapodolewe
nampeleka kwa didi, maana huyuu wifi yako ana madeko π€£π€£π€£Melo aeke kipengele cha voice noteππ
Si ashasema ana mdada anamsukaga mara moja kwa wiki
Jitahidi umpeleke zile salun za mliman city banaπ
Mpeleke kwa pascomakeover ndio atamjulia na hiko kichwa chakeπnampeleka kwa didi, maana huyuu wifi yako ana madeko π€£π€£π€£
akitoka hapo nampeleka Mac pale mlimani city ndani akapigwe π matataaaMpeleke kwa pascomakeover ndio atamjulia na hiko kichwa chakeπ
Aiseeee wifi ana bahati jamanππakitoka hapo nampeleka Mac pale mlimani city ndani akapigwe π matataaa