National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
πππUmeona kumbe ka mtu kanyewe kazuriii kweli kweli, sijui kametoa wapi tabia mbovu au kwakua kapo nyuma ya keyboardUkimkuta anavyobishana na wakubwa zake huko kwenye threads za watu sasa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119]
ππBora umesema aunt
kijana mrembo mzuri kabisa , alafu unajidai mandoga. Hapo imebaki kuvaa kipedo na brauzi wahuni tukuletee moto
au ndio mambo ya hela anataka aoe wake wengi π³ π³ππBora umesema aunt
ππ huyu kijana kuna mahali alinikuta akaanza nitemea shit nikaona atakuwa bonge la mjitu, kumbe kachumba kazuri tu na huo msuko wake umekatoa sex ile mbayaa, leo nikipata hea nakatolea mahali.. hapa mie mate yananitoka tuuu.. Shangazi mzima lakiniπππAunt nimecheka
Mmh uyo mdudu asije kuwa dogie maharage[emoji16]Mdudu buku mbili ndizi buku iringa hii [emoji38][emoji38]
Jichanganye mastakijana mrembo mzuri kabisa , alafu unajidai mandoga. Hapo imebaki kuvaa kipedo na brauzi wahuni tukuletee moto
Utauponza mpuluππ huyu kijana kuna mahali alinikuta akaanza nitemea shit nikaona atakuwa bonge la mjitu, kumbe kachumba kazuri tu na huo msuko wake umekatoa sex ile mbayaa, leo nikipata hea nakatolea mahali.. hapa mie mate yananitoka tuuu.. Shangazi mzima lakini
nimekuelewa totooo toooo chuchuuuu ππππππJichanganye masta
nakuja kukulipia mahali mwali weweUtauponza mpulu
Mtoto mzuri huyoππππme simoπππUmeona kumbe ka mtu kanyewe kazuriii kweli kweli, sijui kametoa wapi tabia mbovu au kwakua kapo nyuma ya keyboard
Niliona ila nikasema huyu mbona leo yuko kimya ivo hajibu chochote kumbe ulikua unampimiaππππ huyu kijana kuna mahali alinikuta akaanza nitemea shit nikaona atakuwa bonge la mjitu, kumbe kachumba kazuri tu na huo msuko wake umekatoa sex ile mbayaa, leo nikipata hea nakatolea mahali.. hapa mie mate yananitoka tuuu.. Shangazi mzima lakini
Nimewapa washenga barua na posa, nijichukulie ka mwali kabichi bichi.. kabisa.. π πMtoto mzuri huyoππππme simo
Nilikuwa namtazama, nione anapata wapi ujasiri..leo ndio nimejua.. kanajivunia u pisi kali wake, acha nikamtolee posa nivute jikoNiliona ila nikasema huyu mbona leo yuko kimya ivo hajibu chochote kumbe ulikua unampimiaππ
Kuna matusi unatafuta mie sipoππππalu ini aluuuu ni karembo sanaNimewapa washenga barua na posa, nijichukulie ka mwali kabichi bichi.. kabisa.. π π
Hiyo vita unayoitafuta sio ndogo shauri yakoπππNilikuwa namtazama, nione anapata wapi ujasiri..leo ndio nimejua.. kanajivunia u pisi kali wake, acha nikamtolee posa nivute jiko
πππShikamoo auntππ huyu kijana kuna mahali alinikuta akaanza nitemea shit nikaona atakuwa bonge la mjitu, kumbe kachumba kazuri tu na huo msuko wake umekatoa sex ile mbayaa, leo nikipata hea nakatolea mahali.. hapa mie mate yananitoka tuuu.. Shangazi mzima lakini
Hela zenyew anazo basππau ndio mambo ya hela anataka aoe wake wengi π³ π³