habari ya Jtatu
πππ Em KwendraaaNilitaka kushangaa chawa sina habari heeeπ€£π€£
Mwenyewe nimemmiss.Atafurahi kukuona, ngoja nimwambie kuhusu ujio wako akuandalie Kuku wa kukuchinjia.
Bibi yako licha ya kuzeeka kama Mimi lakini bado anapenda Ice cream π¦, nitamchukulia Jioni nikirudi shambani
ππππ fyuuMguu softiiiii
Aah wacha Momo beib achanganyikiwe tu, sio kupenda kwakeπ€£
Sitakiiiiiiiiiiiiiπππ Em Kwendraaa
Afu ungejua tumekaziwa wasap na momo πSitakiiiiiiiiiiiii
Kwetu iringaWapi huko?
Heee kisa?Afu ungejua tumekaziwa wasap na momo π
Hata sijui kisa mieβ¦Heee kisa?
Najua tu wewe umemkorofisha, em muombe msamaha upesi shem darling.
Tarehe hizi hua hatufanyi ukorofi you knowππ
Ooh Mimi nilipata shida sana aisee sabbu muislam alafu kijijini Kuna bucha ya nguruwe tuKwetu iringa
That new dress ππNimeota kitambi hadi jau Lenie View attachment 2396323
Hata sio hiyo pyeeeThat new dress ππ
Em nione full look kama kishunde nacho kimeota
Ooh Mimi nilipata shida sana aisee sabbu muislam alafu kijijini Kuna bucha ya nguruwe tu
Nitamfata niongee nae, hanaga shida yule shemu wanguHata sijui kisa mieβ¦
Naacha kama yanavyoenda, ain't swallow my pride π
ππ tarehe my foot
Yaani una jeuri, wakati mke mwenza huko anasubiri picha aone kazi nzuri aliyotenda ππHata sio hiyo pyeee
Ya mke mwenza sijavaa ππ nimeamka asubuhi mawazo yamebadilika..
Nina flat nchi 24 bana π
πNingeipiga tu auntie alafu nasikia ni dawa etπππMara mojamoja si mbaya unajichanganya unakula Auntie
Helloowww babu!! Leo hujatupa msemo lakini babuu Umependeza sana very smart!!View attachment 2396229
Hello Monday π₯
π kafanya kazi nzuri kweli lkn inampasa atulie.. am not a photogenicYaani una jeuri, wakati mke mwenza huko anasubiri picha aone kazi nzuri aliyotenda ππ
Flat ndio yenyewe hyoπ
Dawa ya nini??πNingeipiga tu auntie alafu nasikia ni dawa etπππ
πSawa nikienda Tena nitakwambia wanipeπDawa ya nini??
Ila inakuwaga taaamu