Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,405
πππAkae kwa kutulia pecha zemefutikkaaaa nikipata hela ya fundi simu nitamwomba afanye makeke zirudi nitambless asijareee
Anne ushamsikia madam wetuπππAkae kwa kutulia pecha zemefutikkaaaa nikipata hela ya fundi simu nitamwomba afanye makeke zirudi nitambless asijareee
Mjep ndo wamuita tena ππ
MazoeaAchana na wale ambao wameenda kusoma, pata yule ambaye ameenda nje yuko kwenye social environment ambayo anazungukwa na watu wa jamii hyo,,
Nlienda shirati for a year,, nlivorudi moro kiswahili kinanipa shida,, lazima nichanganye kijita ndo niongee
Kuweka kwaks ndiko kupata kwako pichaAnne ushamsikia madam wetu
Viatu vya samaki ni Iβd yake πππUkorofi wake tu
Mara ajiite viatu vya samaki
Nilikuwaga hivyo zamani sijui Kiswahili sana Ila sasa naoongea mno ππAchana na wale ambao wameenda kusoma, pata yule ambaye ameenda nje yuko kwenye social environment ambayo anazungukwa na watu wa jamii hyo,,
Nlienda shirati for a year,, nlivorudi moro kiswahili kinanipa shida,, lazima nichanganye kijita ndo niongee
Yaani ndo ukakimbia kufuta kabisaππππUna pata tabu we kiumbe
Si bora iwe jinsia yako ibadilishwe
Mwarabu wa UrenoViatu vya samaki ni Iβd yake πππ
Anaonekana ana faa kwa matumizi ya kutunga hadithi na kuipa jina la kumvutia msomaji
Mweh utaiweka mida yetu ile .Kuweka kwaks ndiko kupata kwako picha
Mweh utaiweka mida yetu ile .
Braza ukiona hivyo kuna shida mahali nakuhakikishia, mimi nimeishi miaka 8 nje ya Tz mfukulizo baada tu ya kumaliza kidato cha nn na nimeishi na watu wanazungumza lugha yao native na nimesoma kwa lugha yao hiyo nimerudi bongo natwanga kiswahili vizuri sana na hata lugha yangu sijasahu hata neno mojaAchana na wale ambao wameenda kusoma, pata yule ambaye ameenda nje yuko kwenye social environment ambayo anazungukwa na watu wa jamii hyo,,
Nlienda shirati for a year,, nlivorudi moro kiswahili kinanipa shida,, lazima nichanganye kijita ndo niongee
Kama sio una wazimu basi una kichaa ulishawahi kuona naweka picha bila kufuta tafuta kazi kijana vinginevyo utaolewaYaani ndo ukakimbia kufuta kabisaπ
Nimefika mdogo wangu
Nadhani ban hazichezi mbali nae ππMwarabu wa Ureno
Ni mtukutu aliyeshindikana hadi na mods
Dada yangu,, nae kiswahili kilikuwa shida enzi hizo ametoka uganda ila sasa hv ni chiriku kinyama, akienda uganda wanasema hata kiganda kinampa shidaNilikuwaga hivyo zamani sijui Kiswahili sana Ila sasa naoongea mno [emoji23][emoji23]
Nadhani ban hazichezi mbali nae π
"Ni Yeye"
BUSH BIN LADENi
mrembo anataka akuoneNimefika mdogo wangu
Nipo nipo