The shot was taken by my one and only Hubby, nilipoenda kumtembelea katika chuoni kwake [emoji2356][emoji2356]
View attachment 1258877
Kuna foleni za kipuuzi sana. Unatumia 1hr to cover 1km then huko mbele kuko clear unashangaa why?Khaaah!! Huo mji foleni inaishaga kweli?
Kiruu hata sijui nimeandika vinini,, nasinzia mimi jamani..
[emoji4] tafuta bed na shuka
Sasa kama huko mbele kuko clear foleni inatoka wapi[emoji134][emoji134]Kuna foleni za kipuuzi sana. Unatumia 1hr to cover 1km then huko mbele kuko clear unashangaa why?
Hujaenda kwa wasafiNdio niko kwa bed saa hii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ikiwa hivi hivi tu itapendeza sana
Beberu mwitu Oneni jamani Mwenzetu anatembelewa hadi chuoni na vitu vizuri, wakina sisi tutaendelea kutembelewa na mikosi mpaka lini?The shot was taken by my one and only Hubby, nilipoenda kumtembelea katika chuoni kwake [emoji2356][emoji2356]
View attachment 1258877
Kumbe mtoto nawe ni piniView attachment 1258891
I took this snap on my birthday two month ago at Kaya Pallazo Hotel & Resort .. Hii hotel ni kiboko [emoji7][emoji7]
Hujaenda kwa wasafi
Umekosa kampani au uko off moodNo sijaenda
Basi sawa.
Kama yakooWow! una rangi nzuri[emoji7]
Mie toto zuri siku zote jamani[emoji1787]bora umekuwa toto zuri [emoji4]