Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,405
Fasta CC zirudiTupige kampeni ile cc irudi tafadhali mdogo wangu
Mwehu ni weweHuyo ni mwehuuu!!! Akili zake anazijua mwenyewe!!! Endeleeni kuniita dog nipo hapa napikaaaa!!
Smart kenge wewe!!
π€£π€£π€£π€£ππππ
Sospeter anaongea kiswahiliJamaa limekaa Ulaya limezunguka mataifa kibao huko linaongea lugha za huko lkn linachapa kiswahili kimenyooka kama rula
ππUmechachuka leoMwehu ni wewe
Siyo blaza wetu hana Makuu
Tumemwita na amekuja kutoa mwongozo.
Kuna yule mzungu aloimba juzi juzi hapa kiswahili πππmlete mzungu π€£π€£Sospeter anaongea kiswahili
Ila sisi wa Kwa madonge kwinama tumeng'ang'ana na broken English
ππππππSmart ni mwehuuu chiziiiii mbwaaaa kokooo pro max doubleeeeeee!!Mwehu ni wewe
Siyo blaza wetu hana Makuu
Tumemwita na amekuja kutoa mwongozo.
Nakataa nakataa sio kweliπ€£π€£π€£ππππππSmart ni mwehuuu chiziiiii mbwaaaa kokooo pro max doubleeeeeee!!
Braza Mahondaw anasema kuwa eti umesahau humkumbuki kabisa.Hakika mambo yangu niachiwe mwenyewe...
Tunamshukuru ameupiga mwingi,hatimaye tunakuita mbwaππππππππΎββοΈππππππSmart ni mwehuuu chiziiiii mbwaaaa kokooo pro max doubleeeeeee!!
Kumbe Unaongelea Mahondaw hapo sihusikiii πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈ!Dog Napika mie mkimaliza mnistueBraza Mahondaw anasema kuwa eti umesahau humkumbuki kabisa.
Ni kweli au anatupiga kama tu huyu Madame??
Au alitaka umtaje tuπππΎββοΈππΎββοΈ
Nyote Machizi kuanzia wewe Mr vocha nahuyo Chizi wenu mkubwa!!πππTunamshukuru ameupiga mwingi,hatimaye tunakuita mbwaππππππππΎββοΈ
Uzuri ulijiongezea na jinaNyote Machizi kuanzia wewe Mr vocha nahuyo Chizi wenu mkubwa!!πππ
Hayo hayanihusu mimi dog mambo yenu nawaachia wenyewe πππΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈ!!Tutakustua na CC
Braza anakuja nazo
Na yule mjanja anayetembelea nyota ya jina lako mlilolijenga wewe na braza Kwa jasho na damu Kwa miaka zaidi ya 9 ..aisee sisi na braza tunamnyang''anya jina.
Dada mavi ya kale hayanukiπππ yananukiia kama pafyum πππHayo hayanihusu mimi dog mambo yenu nawaachia wenyewe πππΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈ!!
Cc irudi tafadhaliTutakustua na CC
Braza anakuja nazo
Na yule mjanja anayetembelea nyota ya jina lako mlilolijenga wewe na braza Kwa jasho na damu Kwa miaka zaidi ya 9 ..aisee sisi na braza tunamnyang''anya jina.
Unamdis ila unamkubali kiaianaHayo hayanihusu mimi dog mambo yenu nawaachia wenyewe πππΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈ!!
Naona unakolezeaaa ....msinitafutie matatizo miyeeππππππππππ!Dada mavi ya kale hayanukiπππ yananukiia kama pafyum πππ