Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,405
ππππππππππMtag Akija hapa niite mbwaaaa mr vocha nimekaa paleee in putins voice ππππππππππ!
Uzuri nafasi bado zipoNina wake wawili madam na watoto watatu wawili warembooo kama mama zao na mmoja dume sura ya baba yake copy and Pasteπ€£π
Kwanza hamjui bosi ledi ninani jina geni kabisa hiloooo ..Akija hapa mniite mbwaaaaa!! Na nkamu ako Naendelea kuwasubiri paleeee mjue mie simooo sijaita mtu mie ππππMzee wa miongozo Mr CC Smart911
Tunaomba improve wrong boss ledi wetu mpendwa Kwa wewe kuja hapa
Mimi najiandaa tu kukuita Mbwa.Kwanza hamjui bosi ledi ninani jina geni kabisa hiloooo ..Akija hapa mniite mbaaaaaa!! Na nkamu ako Naendelea kuwasubiri paleeeeππππ
Mie simoooo... naendelea kuwasubiri mniite mbwa hapa mieππππMimi najiandaa tu kukuita Mbwa.
Asimjue boss ledi??
Labda ajitie tu hamjui...
Haipo hiyooo..anayebisha apambane na ubishi wake..sisi tunachojua ni kwamba anamjua.
hahahahaha,ukisinzia wapi sasa?Nikisinzia je
Wakati natembeahahahahaha,ukisinzia wapi sasa?
hahahaha,nakubebaWakati natembea
Nikapata drowsiness
Nilikunywa wine , nalegeahahahahaha,ukisinzia wapi sasa?
Poa mrembo, Habari ya leo
Ewe tulia uone tutakavyokuita mbwaMie simoooo... naendelea kuwasubiri mniite mbwa hapa mieππππ
usinywe pekee yako.Nilikunywa wine , nalegea
Nimejiahidi mwenyewe , sitokunywa wine
Njema sana sweetmadame .. miss youuuuuuπππππ
Poa mzimaPoa mrembo, Habari ya leo
I miss u dearNjema sana sweetmadame .. miss youuuuuuπππππ
Kabisaaa ntaitikaa "wooouuu wooouuu wouuuuuu " Nipo hapa nawasubiri ππW
Ewe tulia uone tutakavyokuita mbwa
Tena ukaitikage kama mbwa.
Ngoja jamaa aje kutoa miongozo
Salama Auntie
Tunasubiriπ₯°I miss u dear
Dada nataka nitoe ya moyoni Leoπ€£π€£π€£