Selfika na JF: Snap it. Show it

Sawa Mjukuu, na Ile Posa iliyoletwa kwaajili yako tuipokee? Naona Ng'ombe 200 zimeletwa hapa kwaajili yako, nadhani rangi yako imekubeba Mjukuu πŸ€ͺ
Santo sana babuu Ipokee kwa mikono miwili kabisa ni ya mjukuu wako mie hapa babuu wamesema wanajipanga vizuri watakuja muwatambue rasmi!
 
Vijana wengi wanakuja huku Kila siku kwaajili ya Kuchimba, kwahiyo wanabadirishana tu Wanawake
Heee kumbe!!πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Sasa kama babu yao ulieishi kwingi na kuona mengi unawashaurije kuhusu kuepukana na hilo janga babuu au unawawekea Zana maeneo ya kazi??πŸ€”πŸ€”
 
Heee kumbe!!πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Sasa kama babu yao ulieishi kwingi na kuona mengi unawashaurije kuhusu kuepukana na hilo janga babuu au unawawekea Zana maeneo ya kazi??πŸ€”πŸ€”
Hahahaha...........................huwa nawawekea Ile nyimbo ya Starehe ya Ferouzi Ft Prof Jay

Lakini Zana zinapatikana Eneo la Kazi, ni wao kutembea nazo mfukoni tu πŸ€ͺ
 
Babu na uzoefu wakeeeeeπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›! Mjukuu wako Naomba unielekeze hizo aina za cheni babu!!
Hahahaha................najua basi, nadhani Yule Kaka yako Kwa Mjomba ako alishika hii simu alikuwa ananirekebishia Kalenda itakuwa alitype hayo maandishi πŸ€ͺπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…