Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,213
- 29,382
Asante..Nikopoa ngoja nikubless usilale hivhivView attachment 2393191
Asante π kesho napita nakedAsante..
Umeneneoa sn,ila umejiziba mnoπ
ππππππ aunt yani imenipita nikiwa hapa hapa??Asante π kesho napita naked
Rastaman
Poleππππππ aunt yani imenipita nikiwa hapa hapa??
Kwani msukuma huwezi kua romantic japo kidogo tu?[emoji854]Mdanganyeni na hiyo kimpilini
Kapendeza wapi na mgauni wa kuimbia kwaya huo[emoji848]
Kikao kijachojamani toto, gani hizo.. mbona mnataka nigombanisha
Ndio nini[emoji848]Kwani msukuma huwezi kua romantic japo kidogo tu?[emoji854]
Maning'ning'Ndio nini[emoji848]
Hujambo[emoji848]Maning'ning'
Mbwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! πππππ€£! Ungejua jana nilivochoka!Ukilala sshv naachana na yolly yolly ππ
Show kareeeee!Tueleze
siku hizi nalazwa mapemaaa tuu, saa moja na nusu tuu tayariNa wewe jiselfishe wamelala
Hadi National Anthem kasinzia ataambulia manyoya
nani alikuchosha shangaziiMbwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! πππππ€£! Ungejua jana nilivochoka!
Tulikua na graduu ya form 4 mjomba!nani alikuchosha shangazii
hatupendani shangazi, hata kunialika jamani ππ nimesikia ushunguu sanaTulikua na graduu ya form 4 mjomba!
Weeeeeee niliwaalika wote mjomba yani wooooteeee! Nisipokupenda mjomba wangi si wakufwa tu mimii uwii!hatupendani shangazi, hata kunialika jamani ππ nimesikia ushunguu sana
mie sijaona huo mualiko jamani shangazi yangu ππWeeeeeee niliwaalika wote mjomba yani wooooteeee! Nisipokupenda mjomba wangi si wakufwa tu mimii uwii!
Ukirejea huko juu utaona mjomba! itakua Mgore amekuweka bize sana hadi unatusahau selfika mjomba!mie sijaona huo mualiko jamani shangazi yangu ππ