Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
OhooNawaambia wakaka wa baharini wanifundishe [emoji23][emoji23]
Namsubiri na Kaka Putin aje kunifundisha
Hi babe๐
Kweli aiseeOhoo
Hao utarudi na mtoto asie na baba
AwwNimekujaa my kaka jamani miss you more[emoji847]
Unapiga kelele ishapenyaKweli aisee
God forbid !!
Nitapiga makelele aisee
Usiseme hivyo ๐Unapiga kelele ishapenya
Hello darling๐Hi babe๐
Huyo ni kaka yangu ujue yeye akisema no tuu umenipotezaa
Ninataka za huyo jamaa tuNilishakukataza hiyo tabia
Humu ndani kwangu zipo nyingi
Utakuja kuwolewa bila mahari
Mi niko poa madamNipo poa na wewe
Hilo ndo jina lako jingine boss wetu wa selfika .
Na wewe mmoja waoMi niko poa madam
Ila hapa selfika na jf kuna maboss wenyewe ni hatari mimi ni kapuku tuu
Inabidi nibadili user name niachane na mjep
Can't wait [emoji85][emoji85]Nakutumia WhatsApp [emoji23]
Na wewe umetokea wapi mzee baba?Kaa kwa kutulia
Aamin๐๐Na wewe mmoja wao
Unatupa zawadi za vocha daily hapaa selfika .
Upo na roho nzuri , ubarikiwe zaidi na zaidi
Haya ndugu โบ๏ธโบ๏ธCan't wait [emoji85][emoji85]
Weuwe boss kashasema sasa ๐ฅฐAamin๐๐
Na vocha siachi kuweka nitaendelea kuweka labda waniuee, tunagawana umasikini๐
jamani toto, gani hizo.. mbona mnataka nigombanishaHello darling๐
Kumbe nataka kumwaga mboga๐
Bora ningemwaga ugali....
Inabidi nikaombe radhi hadharani
Ila boss wangu National Anthem hana shida mzee wa totoz๐
Unaniita ndugu unataka uninyime nn ww binti mrembo ๐ ๐ ๐Haya ndugu โบ๏ธโบ๏ธ
Sina cha kukupa ndo maana nakuita ndugu ๐๐Unaniita ndugu unataka uninyime nn ww binti mrembo ๐ ๐ ๐