Graduu Leo au siyooo...Nico the great DJ Mziki mneneeeeeee tuko makeneeeeeeeeeee[emoji3577][emoji3577]
๐ณ๐ฑ๐ซฃNico the great DJ Mziki mneneeeeeee tuko makeneeeeeeeeeeeโ๏ธโ๏ธ
๐ ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅHozaaaaaaa Karibuni Mnyegeree Welcome Saint Anne Tinsley Lovelovie sophy27 Tunaendelea kuweka mambo sawa kamati ya mapambo wametuangushaaa acha tuwakazie kwanzaaโ๏ธโ๏ธ
Hii sherehe ni bab kubwaaaNico the great DJ Mziki mneneeeeeee tuko makeneeeeeeeeeeeโ๏ธโ๏ธ
Sio nadhani
Nina hakika hajui
Hata wewe hujui
Chap chap nikuonyeshe matumizi
Hutajutia
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃWoooi๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Hii sherehe ni bab kubwaaa
Ona spika hizo zilivyo nyingii
Na raha jipe mwenyeweSina ninayemkwaza,
Maisha ni haya haya.View attachment 2392647
HakikaNa raha jipe mwenyewe
Mambo mr vocha
Kuna band hapa wanaimba vizuri nachukua namba yao , waje watuimbie kwenye birthday ya yolly yolly .Tajir wa mapenzi maskini wa kusaliti
Kuna wanawake wengine ukidate nao unapata mibaraka sana ubarikiwe yolly yolly [emoji7][emoji7]
Upo single afu ukipigwa busu unatetemeka kama trekta [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 2392596
๐๐๐ Lizzy boss wangu mie kama body guard wake tuuu, nimepewa kazi ya kuhakikisha yupo salama.. umewahi ona movie ya The Body guard ? basi mie kama jet Lee tu..