Uwiii nywele, itabidi niwe nacrop kichwa maana saivi nikipost hata robo nywele basi utanijua tu hata unione kwa mbali
Na ukitaka uingie kirahisi kwenye mwendokasi basi jipenyeze katikati fastaa unajikuta ushasukumwa ndani unatafuta bomba unashika zako unatulia