MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,745
- 71,610
Braza, braza,!!! Hela hizo unazozisema wanawake wanazo ziko wapi bwana, mimi sizioni ???πππππ€ π€ π€ Wao hata kama wana hela bado wanataka tuwe na hela na hata kama hawana hawataki asie na hela pia, kuvumiliana hakupo bali kuna kuvumiliana michongo yako binafsi itiki
Wanasoma hii comment yako huku wanasonyaaa π€ π€ π€ π€Braza, braza,!!! Hela hizo unazozisema wanawake wanazo ziko wapi bwana, mimi sizioni ???ππππ
Kiufupi vijana wengi wa kitanzania tuna hali mbaya sana kiuchumi (Financial Stress)
Hivyo inabidi wawakubali tu, maana hakuna wanaume wengine......
Fedha mtatafuta wote, mbele ya safari hukooo......
Labda huku mtaani kwetu ndo hawana Hela ila vijana was jf wote Wana Hela ππΆBraza, braza,!!! Hela hizo unazozisema wanawake wanazo ziko wapi bwana, mimi sizioni ???ππππ
Kiufupi vijana wengi wa kitanzania tuna hali mbaya sana kiuchumi (Financial Stress)
Hivyo inabidi wawakubali tu, maana hakuna wanaume wengine......
Fedha mtatafuta wote, mbele ya safari hukooo......
Mie na mzabzab hatuna hela na tunaishi maskani kwa baba na mamaLabda huku mtaani kwetu ndo hawana Hela ila vijana was jf wote Wana Hela ππΆ
Ukweli ni upi shangazi yangu, alafu out ya Leo ingenoda kweli shangazi yangu βΊοΈβΊοΈAunt sio kweli
Hiiiiiiiiiii, wasonye tu, ila mimi ninawapa takwimu za utafiti kutoka NBS, BOT na Wizarani.....Wanasoma hii comment yako huku wanasonyaaa π€ π€ π€ π€
Leo nimeona nipumzike auntUkweli ni upi shangazi yangu, alafu out ya Leo ingenoda kweli shangazi yangu βΊοΈβΊοΈ
Mbwembwe zetu watanganyika! Idadi ya walipa kodi nchini Tanzania ni ndogo mnoo......Labda huku mtaani kwetu ndo hawana Hela ila vijana was jf wote Wana Hela ππΆ
Inasikitisha sana hizi takwimu... Kuna safari ndefu sana bado hapo, kiwango cha 1-3 million ni cha kusaka sana kwa to hi na ni Ukweli usio na shaka, lakini hiyo ni hela ndogo sana kulingana na status ya Dunia ya sasa hivi.Hiiiiiiiiiii, wasonye tu, ila mimi ninawapa takwimu za utafiti kutoka NBS, BOT na Wizarani.....
Vijana wengi wa kitanzania wanapitia kipindi kigumu kwasababu hali ya uchumi siyo rafiki.....
Vijana (25-35 years) wenye kipato cha walau 1,335,000/= kwa mwezi ni asilimia ndogo mnoo.....
Vijana wengi huanza kupata kipato kikubwa cha walau 2,000,000/= kwa mwezi wakifika miaka 35-40 years.
Bahati mbaya, wakati huu tayari wanakuwa washaoa na kuzaa mtoto hata moja hivi na kumilikia biashara...
Sasa ni vyema mkaanza na mtu mkiwa na kipato cha kawaida, mkakomaa pamoja huko mbele mtafanikiwa.
READY MADE ZILE ZENYE GARI NA NYUMBA ZIPO, LAKINI WACHACHE SANA HUBAHATIKA KUZIPATA......
Kesho mapema tu shangazi, usiniangushe πππLeo nimeona nipumzike aunt
Hapo bado hajakatwa PAYE, Loans Board, Social Security Fund na tozo nyinginezo......Inasikitisha sana hizi takwimu... Kuna safari ndefu sana bado hapo, kiwango cha 1-3 million ni cha kusaka sana kwa to hi na ni Ukweli usio na shaka, lakini hiyo ni hela ndogo sana kulingana na status ya Dunia ya sasa hivi.
Changamoto maisha ya mtandao, zinachanganya sana na maisha ya uharisia, na kujikuta wengi hawajui maisha yanataka nini nao wanataka nini.
Maisha ya siku hizi yamekuwa na ulengaji sana.
Sure thing it is.....No doubt about it.
- Life is either a daring adventure or nothing at all.
HakikaSure thing it is.....No doubt about it.
BWANA YESU NI MWEMA, weekend iko salama.....Hakika
Habari ya weekend
Ooh AmenBWANA YESU NI MWEMA, weekend iko salama.....
rafiki hapa cjaelewa lugha gani hiiOoh Amen
Glad to hear that π