Selfika na JF: Snap it. Show it

TANESCO kama kuna kosa tumewakosea watu wa NJIRO-ARUSHA mtusamehe πŸ˜‚πŸ˜‚

Ofisini mmekata saa 2 asbh, nimetokapo saa 12 kasoro flani bado haujarudi..

Nimefika home nikaandaa msosi, sijala nikamaliza nako mmekata… hapa nakombelezea moto kwenye Laptop πŸ₯Ή

Sio vizuri jamani,, basi wakati mnajivuta vuta kurudisha umeme njoeni mselfike

Wee admn njoo uselfike TANESCO 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…