myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
π πMapozi yao sasa utayaona tu.
Mswahili ni Mswahili tu hata aende.
Ndugu zangu wabongo mtanisamehe
Aiseeπππ
Pole aunt usijali huu mwaka hauishi lazima nikutafutie chomboNichumbie basi shangazi, nalala njaa shangazi yako πππ
πππNilipate wapi umaridadi unaficha umaskini πππUna duka la nguo eeh?
ππππ Haya acha ni SobiriPole aunt usijali huu mwaka hauishi lazima nikutafutie chombo
Hii kitu ambayo Christina alikuwa anarukia wanaume naikumbuka vizuri sana mazee...MALCOM LUMUMBA unaikumbuka hii ngomaView attachment 2384742
Wew tulia nifanye ππππππ Haya acha ni Sobiri
Ila sina hela sasa ππWew tulia nifanye ππ
Daah shangazi huyoo πππ
πππKunamtu alinishawish balaa ila nikakataa nikikuwazaga nacheka sana aiseeπLizzy tunawasaidiajeView attachment 2384755
Muhimu confidence shangazi mbona unawin usiwe mnyongeIla sina hela sasa ππ
πππKunamtu alinishawish balaa ila nikakataa nikikuwazaga nacheka sana aiseeπ
Confidence bila hela unaonekana mwehuMuhimu confidence shangazi mbona unawin usiwe mnyonge
πππMm wananidai washenz Hawa na sijalipa walinitumia sms ya vitisho walidhani nitahamia Burundiπππ
Sasa aunt ukose vyote ukose Hela na confidence πConfidence bila hela unaonekana mwehu
Branch πππππππMm wananidai washenz Hawa na sijalipa walinitumia sms ya vitisho walidhani nitahamia Burundiπππ
Confidence bila hela ni bangi ππSasa aunt ukose vyote ukose Hela na confidence π
Poa mambo vip