Mwambie huyoooo👌👌👌👌😁😁Kama kilaza domozege wa kwanza mpenda mtelezo Baba Yolly Carrasco putin Putin kapata sembuse yeye mpambanaji??🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️
Nakwambia Nilikua msimamizi mkuu sasa Shule ilikua na mikondo 8 uwiii!! A hadi H huko unazunguka kama piaa hakuna kupumzika hadi muda unaisha! Miundombinu ya shule sasa madarasa yamekaa mbalimbalii afu kuna vi miinuko inuko jamaniii Nilikoma mbona sina hamuu