Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,389
Nkamu tubet Mama angu[emoji3]
Njoo kwa kaka yangu Wigelekelo akupeleke ukale sato na sangara unawiri zaidiPambana….
Sitaki, me ni mkaskazini chotara 😍
Ampigishe rodi tripu hadi za huko njeNjoo kwa kaka yangu Wigelekelo akupeleke ukale sato na sangara unawiri zaidi
Kaskazini hamna vinono kama kanda ya ziwa
Sijui amepotelea wapi,Nimemtag asubuhi ila hajatokea.
Nkamu,Jana nilipita kwenye uzi wakowa kurudisha message ..nikataka nikuulize kama ulifanikiwa kurejesha messages zilizofutwa.
Ila bado sijajaribu ile njia alitoa mdau mmoja..nasubiri nipate PC hapa.
Sisi Yanga wala hatuhitaji kubet[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
ushindi upo wazi.
.....
wiki jana kuna harusi nilienda,Wakaweka mashindano ya kutoa hela kati ya Simba na Yanga..
Aisee ule mchezo ni mzuri kwa kuwatunza Maharusi
Zilitolewa hela pale,Kila upande hautaki kushindwa ligi..Watu wanaongeza tu hela.
🤣🤣Sisi Yanga wala hatuhitaji kubet😂🤣😂🤣
ushindi upo wazi.
.....
wiki jana kuna harusi nilienda,Wakaweka mashindano ya kutoa hela kati ya Simba na Yanga..
Aisee ule mchezo ni mzuri kwa kuwatunza Maharusi
Zilitolewa hela pale,Kila upande hautaki kushindwa ligi..Watu wanaongeza tu hela.
Njoo kwa kaka yangu Wigelekelo akupeleke ukale sato na sangara unawiri zaidi
Kaskazini hamna vinono kama kanda ya ziwa
Jioni njema kwakoJioni imeshika kasi
Nkamu haujiamini na team yako[emoji3]
Mi naamini mtafungwa
Sikufanikiwa Nkamu wangu
mwe nimemmiss eti
[emoji23] [emoji23] Timu yetu uhakika ndio maana hatutaki kuwapiga hela za kubet
Mwee[emoji2296]
Kuna dalili nisifanikiwe.
......
We Heaven Sent unaitwa huku..
Hadi Nkamu anakuita aisee siyo utani[emoji23][emoji23]Tumekumiss
Anakwama wapi sjui, shauri yakeAmpigishe rodi tripu hadi za huko nje
Wacha weee😛Kaskazini nimefikaaa,, sihami ng’oo😂😂😂😂💃
Tufanye kesho!Nani anapotea?
Nilikuwa go ahead kwamba unitafute na hukunitafuta.
Huwezi jua,siku hiyo ingeleta nini.
tuweke picha ya yolly yollyPiga kelele kwa al Hilal na yolly yolly[emoji7][emoji7] ake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]